Msaada Kuhusu hii gari Skyline

afebris

Member
Nov 17, 2015
96
103
Wakuu nimevutiwa na hii gari,naombeni uzuri na changamoto zake
Nissan skyline 2007 250gt
Model Code DBA-NV36
Engine Size 2,490cc.
BF551587_5e1f5a.jpg
BF551587_318b5d.jpg
 
Inataka resemble na kitu moja yaitwa Nissan FUGA (hatari sana hii gari) mjini hazionekani ovyo ovyo hizi FUGA...chukua FUGA.
 
Ni gari ya uhakika I love Nissan skyline nimewahi kumiliki mbili ina speed, nguvu, na ubora pia.
Huwezi kujuta
 
Back
Top Bottom