Msaada kuhusu faida zitolewazo na Mabenki,CRDB,NMB,POSTA,EXM,ACB n.k.

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
48,936
54,157
Salam jf. Tafadhali naomba yoyote mwenye uelewa na suala la fedha zinazotolewa na benki zetu mwisho wa mwaka(interest credit). Mfano ktk benki ya makabwela nmb nina kiasi cha 6000000 ni kiasi gani mwisho wa mwaka naweza kuwekewa na benki? Naweza kuwa lbd nimeshindwa kujua lugha za benki hiyo fedha ni faida ipatayo benki inarudishwa kwa wenye akaunti au nini? Mwisho wa mwaka nikichukua min statement ktk atm nakuta hiyo kitu nifahamisheni.
 
mkuu hakuna faida ya kuweka pesa bank!hiyo utajikuta una sh 5200000.nunua kiwanja mkuu
 
...Mkuu Bongolala Ungefafanua zaidi hapo Utakuwa umefanya la Maana sana maana Tutafaidika wengi.
 
Kuweka pesa benki hupati faida kama unavyodhani, in fact unakatwa gharama fulani kila mwezi. Kwa hivyo kama akaunti yako ni Saving, obviously utakuta mwisho wa mwaka una pungufu ya hizo milion sita. Ikiwa unataka kafaida, ungefikiria kufungua fixed account ya mwaka, miezi sita au mitatu. Kafaida ni kiduchu sana, lkn inasaidia hasa kama huna mpango wowote wa kutumia pesa siku za karibuni. Exim wana akaunti inaitwa FAIDA, naona ni nzuri kwa sababu pesa hata ikae muda gani, haipungui chini ya ile uliyoweka. Kwa ujumla benki ni wakamuaji tu.
 
Back
Top Bottom