Msaada kuhusu Domestic "JugCattle" + "Blender"

under_score

Senior Member
Nov 2, 2011
190
45
habari waungwana ...,

Nahitaji kununua Electric Jug-Cattle + Domestic Blender kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya nyumbani, tafadhali naomba ushauri kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu the best brand(s) worth buying,

I'll appreciate knowing the price ranges and places where i can find them, thanks

i'm in Arusha ...
 
Kwanza: cattle --> ng'ombe huyu anyetoa maziwa na nyama
kettle --> birika hili tunalowekea/chemshia chai

Don't buy a brand, buy a kettle you can afford and that which does that which you want.
 
Kwanza: cattle --> ng'ombe huyu anyetoa maziwa na nyama
kettle --> birika hili tunalowekea/chemshia chai

Don't buy a brand, buy a kettle you can afford and that which does that which you want.

nakushukuru sana mkuu for your point of correction, so then what is a "brand"?

please come again and get me to learn from you guys, thats why i like JF!
 
kanunue mkuu kenwood au philips ziko poa nauzingatie matumizi yake..
 
Sunbeam pia ni brand nzuri na hotpoint pamoja na hizo cattle jugs. Bei zinaanzia tshs 50,000. Kuhusu blender, kuna food processor ambayo ina kazi kama 7 hivi pamoja na kukoroga keki na chapati maji,kukata matunda na kutengeneza juice mbalimbali (ukitaka pulp ama clear juice)etc. Wekeza kwenye brand imara na hakikisha unajaziwa warranty card.
kanunue mkuu kenwood au philips ziko poa nauzingatie matumizi yake..
 
Nawashkuruni sana waungwana kwa ushauri na msaada wenu wa mawazo, for at least now i got a clue about best brands + their price ranges ..., thanks much indeed!

Na sasa wanajamvi, mimi niko Arusha, je ni wapi naweza pata genuine brands? maana i'm worried nsije nkaingizwa town, maana mimi si mwenyeji sana Arusha, na kwa taarifa nilizonazo naskia hapo ndani ya 'Ungalimi' kama wenyewe wenyeji wavyokuita eti kila aina ya bidhaa uiwazayo kichwani jamaa washachakachuaga brands zamani sana, 'mchina' ni mwanafunzi, tena wa form 1 !!
 
Back
Top Bottom