Msaada kuhusu CPSP exams!

kagarara

Senior Member
Nov 23, 2010
118
9
Wadau naomba mnisaidie kuhusu ni lini mwisho wa kulipia mitihani ya board utakaofanyika mwezi wa tano. Plz nisaidie make mm niko mkoa na nimejaribu web ya board sijaona.
 
Nimejaribu sana lakini kwenye web yao hawajaweka mwisho ni lini. Naomba uhakika zaidi kutoka kwenu wadau.
 
Tarehe ya mwisho ya kujisajili kufanya mitihani ya Bodi (Examination Registration) ni Machi 31 kwa mitihani ya mwezi Mei na tarehe ya mwisho ya kujisajili kuwa mtahiniwa wa Bodi (Candidacy Registration) ni Februari 28.
Baada ya tarehe hizo utapaswa kulipa faini ndani ya wiki mbili kwa kila siku utakayokuwa umechelewa.
 
Back
Top Bottom