saimon111
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,736
- 1,352
Befoward ukiomba punguzo huwa wanapunguza sanaaa $100 tu.Vipi beforward mkuu? Gari zao zinaaminika?
Bora tradecarview
Befoward ukiomba punguzo huwa wanapunguza sanaaa $100 tu.Vipi beforward mkuu? Gari zao zinaaminika?
Mfano mark x ya 2006 showroom zetu wanauza mil.21 wakati ukiagiza nje mpaka unaitia mkononi ni mil.13 inamaana wao wanaongeza mil.8 nzima juuKwa msisitizo nawashauri kununua gari Japan kupitia Tradecarview, mie niliwahi fanya kautafiti na mwisho nikagundua kuwa ukinunua gari showroom Dar au ...... Basi utapigwa cha juu kama 3m mpaka 5m kama faida yao na kulipia Admin cost zao, hivi sasa kununua gari Japan ni rahisi zaidi ya kupatana na hawa waswahili wetu ambao wakati mwingine wanakuwa wamezichezea ili wapate faida kubwa
AsanteTradecarview wanae agent hapa bongo ambao ni walmax ofisi zao zipo ndani ya jengo la water front ghorofa ya 7
Mimi naona tradecarview wapo fair kuliko beforward , nimejaribu kulinganisha japo inategemea na aina ya magari lakini wapo fair kwenye price...Yah kubargain kupo ndio,bt imagine CIF ya $5,000 na $3000 same car ukibargain wapi utapata nafuu..
I do recommend tradecarview as well. Hasa hapo kwenye tests na mfuko.Trade car view is the best. Splendid options based kwa test na mfuko wako. Mi I highly recommend it.
Wanaaminika sana tu. Nimenunua magari mawili kwao. Process za kufanya nao kazi ziko hivi!Naomba msaada kwa waliowahi kuagiza magari kupitia kampuni ya car trade view,kuhusu usahihi wa taarifa za magari hayo.usalama fedha. hii kampuni ina tawi Tanzania.asanteni
Yah good logic.,.makes senseOn average naona tradecar view wana bei kubwa sana compared to beforward..linganisha gari aina moja uone.
Ni kweli wana bei kubwa zaidi sbb wao hawana magari ila ni madalali ambao wanaunganisha makampuni mengi ya magari kama beforward, realmotorjapan, autorec, diyata japan, trust n.k. kwahiyo gari ukiinunua tradecarview utalipa bei ya kununulia kwenye kampuni husika na gharama zingine za inspection, insurance na freight, halafu nyongeza ya hapo, gharama zao za kukuunganisha na kampuni pamoja na hiyo paytrade. Gharama hizi mbili za mwisho hazipo kwa kampuni kama beforward. Kwahiyo ukinunua gari beforward moja kwa moja ni nafuu zaidi kuliko trade carview, mfano tu.
Which company /website ina bei nafuu zaidi kwa ubora mzuri?Kwa msisitizo nawashauri kununua gari Japan kupitia Tradecarview, mie niliwahi fanya kautafiti na mwisho nikagundua kuwa ukinunua gari showroom Dar au ...... Basi utapigwa cha juu kama 3m mpaka 5m kama faida yao na kulipia Admin cost zao, hivi sasa kununua gari Japan ni rahisi zaidi ya kupatana na hawa waswahili wetu ambao wakati mwingine wanakuwa wamezichezea ili wapate faida kubwa
Nakubaliana na wewe kuhusu gharama. Na zaidi ya hapo, ubora wa gari unakuwa mzuri zaidi. Ila siyo lazima iwe tradecarview.
Beforward je?Kwa msisitizo nawashauri kununua gari Japan kupitia Tradecarview, mie niliwahi fanya kautafiti na mwisho nikagundua kuwa ukinunua gari showroom Dar au ...... Basi utapigwa cha juu kama 3m mpaka 5m kama faida yao na kulipia Admin cost zao, hivi sasa kununua gari Japan ni rahisi zaidi ya kupatana na hawa waswahili wetu ambao wakati mwingine wanakuwa wamezichezea ili wapate faida kubwa
ulichokieleza ndicho ukweli wa jinsi showroom zetu zinavyowanyonya waTz wasiojua ukweli wa mambo, mie miaka ya nyuma nilifanikiwa kupata gari kwa milioni nane wakati show room zetu bei ya mwisho wengi walitaka milioni 13Mfano mark x ya 2006 showroom zetu wanauza mil.21 wakati ukiagiza nje mpaka unaitia mkononi ni mil.13 inamaana wao wanaongeza mil.8 nzima juu
Hybrid Harrier itagharimu kiasi gn mkuuMfano mark x ya 2006 showroom zetu wanauza mil.21 wakati ukiagiza nje mpaka unaitia mkononi ni mil.13 inamaana wao wanaongeza mil.8 nzima juu
Mim nimenunua gari zaid ya tatu kwenye tradecarview. Uzuri wa hii site kuna magari mengi sana.. kwa hiyo unachagua unavyotaka. Nilianza kuagiza gari kipindi hiko ambacho hawana ofisi hapa dar ila sasa hvi wana ofisin.. water front buildingNaomba msaada kwa waliowahi kuagiza magari kupitia kampuni ya car trade view,kuhusu usahihi wa taarifa za magari hayo.usalama fedha. hii kampuni ina tawi Tanzania.asanteni
Showroom wanaweka chajuu Kikubwa sana na usishangae ukakuta gari imeshachakachuliwaulichokieleza ndicho ukweli wa jinsi showroom zetu zinavyowanyonya waTz wasiojua ukweli wa mambo, mie miaka ya nyuma nilifanikiwa kupata gari kwa milioni nane wakati show room zetu bei ya mwisho wengi walitaka milioni 13