Msaada kuhusu 'BLOGSPOT'

g.n.n

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
407
49
Jama nilifanikiwa kufungua Blogspot yangu na nikafanikiwa kuiweka hewani ila sasa nataka nibadilishe blogspot (something.blogspot.com kama mfano) so naomba kwa anayefahamu anisaidie coz nimejaribu kuangalia namna ya kuchange nimechemka natanguliza shukrani.
 
Kama bado ipo mpya unaweza idiliti na kufungua mpya... ama jaribu kuangalia option katika dashboard jinsi ya kuedit jina.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom