Msaada kuhusu blackberry software

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
Wakuu naomba msaada nipo dar natarajia kununua simu aina ya blackberry genuine from America( sio under licence) nasikia kuna maduka ya simu hapa yanauza blackberries lakini si genuine sasa nifanyeje? Budget yangu ni shilingi laki 7...nimeambiwa blackberry nitakayo nunua lazima iwe tracked na kampuni hiyo marekani kupitia software yake ambayo ni uninscripted naomba maoni yenu wakuu
 
Back
Top Bottom