Msaada: Kuhama chuo

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Waungwana,

Naomba msaada wa kujua utaratibu wa kubadilidha chuo- moving from one university to another but same course.
 
Sijawahi sikia mtu anaomba uhamisho wa chuo ndo leo

acha zako wewe!mshikaji wangu mmoja alipangiwa M.D hubbert kairuki akahamia kcmc,,,hiyo 9,10 mchizi mwingine kapelekwa chuo hicho hicho akaona mauzauza akamia chemical processing UD!Tena wote bila refa ni just communication na tcu nawalipangiwa loan kama kawa baada ya kuama!xo mshikaji mtoa mada shughulika contact hizo people za tcu utajua cha kufanya vinginevyo umu jukwaani wakatishwa moyo bure!
 
Asante sana. nadhani kama ulivyosema inawezekana, ni hiyo process siijui. Anyway, I' ll have to go there personally. Thanks for encouragement.
 
Back
Top Bottom