Msaada kufungua gari pasipo funguo...

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
70,954
93,931
Rafiki yangu ana Starlet Carat...bahati mbaya mkewe kafungia funguo ndani ya gari, hiyo ilitokea baada ya kulock milango manually.
Kwa mtu yoyote mwenye ujuzi wa namna ya kufungua gari pasipo kuvunja kioo tafadhali atiririke...

Asanteni wadau wote mliochangia, hatimaye gari limefanikiwa kufunguka baada ya kutumia njia aliyopendekeza [MENTION]King'asti[/MENTION], ingawa itabidi kurekebisha "ribiti" inayoshikilia kioo.
 
kuna wale wezi wameiba gari la DC juzi, ngoja nikutafutie contact zao
 
Chukua "bisibisi" ingiza juu kwenye mlango alafu tanua nafasi(autachuna kitu chochote kwani kuna mpira ule uliozunguka kwenye mlango). ukipata mafasi iliowazi weka kibao hili ukitoa "bisibisi" uwazi ubaki. Baada hapo chukua waya kama wa hanger ya nguo; unyooshe na mbele kunja kama ndoano. Huo waya sasa utaingiza kwenye nafasi ilio wazi na unaweza kutumia kuvuta ufunguo nje au kutoa lock ya mlango. Kumbuka utakua unakunja wire kutokana na angle itayakupa urahisi wa kufikia lock au ufunguo.

Hio njia ni safe kabisa na hakuna uaribifu wowote. Nimeitumia mara nyingi sana kusaidia watu na mie mwenyewe.
 
Asante mkuu, alienda fundi garaji ikatumika njia ya kuingiza bampa na kufanikiwa kufungua...appreciate!
 
next time ingiza waya kwenye lock za mlango kisha zungusha but uhakikishe inazunguka japo kidogo mlango utafunguka tu hususani gari za TOYOTA ni rahisi kufunguka
 
Chukua "bisibisi" ingiza juu kwenye mlango alafu tanua nafasi(autachuna kitu chochote kwani kuna mpira ule uliozunguka kwenye mlango). ukipata mafasi iliowazi weka kibao hili ukitoa "bisibisi" uwazi ubaki. Baada hapo chukua waya kama wa hanger ya nguo; unyooshe na mbele kunja kama ndoano. Huo waya sasa utaingiza kwenye nafasi ilio wazi na unaweza kutumia kuvuta ufunguo nje au kutoa lock ya mlango. Kumbuka utakua unakunja wire kutokana na angle itayakupa urahisi wa kufikia lock au ufunguo.

Hio njia ni safe kabisa na hakuna uaribifu wowote. Nimeitumia mara nyingi sana kusaidia watu na mie mwenyewe.
Yalaaah Mkuu O-Chamberlain unauhakika wezi wa magari hawajakusoma, maana gari yangu pia ni Toyota!
 
Chukua "bisibisi" ingiza juu kwenye mlango alafu tanua nafasi(autachuna kitu chochote kwani kuna mpira ule uliozunguka kwenye mlango). ukipata mafasi iliowazi weka kibao hili ukitoa "bisibisi" uwazi ubaki. Baada hapo chukua waya kama wa hanger ya nguo; unyooshe na mbele kunja kama ndoano. Huo waya sasa utaingiza kwenye nafasi ilio wazi na unaweza kutumia kuvuta ufunguo nje au kutoa lock ya mlango. Kumbuka utakua unakunja wire kutokana na angle itayakupa urahisi wa kufikia lock au ufunguo.

Hio njia ni safe kabisa na hakuna uaribifu wowote. Nimeitumia mara nyingi sana kusaidia watu na mie mwenyewe.
mkuu hii mbinu yako nimeitumia leo imefanya kazi asilimia 1oo asante sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom