Msaada kufungua account ya shirika lisilo na faida

Mlangaja

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
579
218
Wanajamvi wenzangu naomba msaada wenu, nataka kufungua account kwa ajili ya shirika lisilo na faida. Ni njia gani nitatumia ili nisilipe kodi. Kwani account si ya kibiashara ni kwa ajili ya msaada tu. Kuna wakati nitapata fedha kutoka nje na pia ndani ya nchi. Naombeni msaada wenu.
 
kaka upo mkoa gan? Na asas yako inahusu masuala gan? Ni pm nkujuze jambo
 
Wanajamvi wenzangu naomba msaada wenu, nataka kufungua account kwa ajili ya shirika lisilo na faida. Ni njia gani nitatumia ili nisilipe kodi. Kwani account si ya kibiashara ni kwa ajili ya msaada tu. Kuna wakati nitapata fedha kutoka nje na pia ndani ya nchi. Naombeni msaada wenu.

Kama lengo ni kutokulipa kodi basi hata hiyo akaunti haitakusaidia, kwani TRA hawaangalii kama unaakaunti ama la. Cha kufanya ni kuwa registered kama NGO iwe na status not for profit. Then ukipata certificate yako, katiba pamoja na minutes za kikao kilichoamua kufungua akaunti na kuchagua office bearers na signatories basi umemaliza (utaweza kufungua akaunti). Hutalipa kodi kwa kuwa hutasajiliwa kama MLIPAKODI
 
Nawashukuruni sana. Nimejifunza, na kimsingi maelezo yenu yamenisaidia sana.
 
Back
Top Bottom