msaada kuapply heslb

utakuja

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
990
800
wakuu habarini za mchana mimi nimejaribu sana kuapply bodi ya mkopo kwanza kupata hile code ni usumbufu kwa njia ya mpesa maana kila nikiandika ile namba yangu mfano S1234.0056.2009 naambiwa not allowed naombeni msaada kwa alie fanikiwa ahsanteni ..
 
utakuja,mimi siji! Sasa mimi nilifanikiwa. Je,wewe umefuata haya maelezo vizuri?;

How to pay via MPESA

1. A registered customer
dials *150# from the
mobile set.
2. Choose option 4 for Pay Bill (Lipa bili yako ) 3. Choose option 2 for Look up (majina ya kampuni
yaliyohifadhiwa )
4. Enter 10 (for HESLB)
5. Enter reference number
(Ingiza namba yako ya
kumbukumbu), which is
your formatted 15
character form 4 index
number e.g. S0143.0012.2009
6. Enter the amount in Tshs
to pay (30,000 or 10,000)
7. Enter a 4 digit PIN
8. Enter 1 to confirm
9. A confirmation Message
will be displayed.
 
Last edited by a moderator:
Ukiona umefuata haya maelezo vizuri na inakuzingua,subiri baada ya muda au wapigie voda uwaulize kuhusu hilo. Mimi nilifuata hayo maelezo nikafanikiwa. Ila mimi nilipga *150*00# badala ya *150# tu! Waliyoiandika pale.
 
Ukiona umefuata haya maelezo vizuri na inakuzingua,subiri baada ya muda au wapigie voda uwaulize kuhusu hilo. Mimi nilifuata hayo maelezo nikafanikiwa. Ila mimi nilipga *150*00# badala ya *150# tu! Waliyoiandika pale.

Ahsante subiri nijaribu na hiyo ya *150*00#
 
ukichelewa katika kuingiza namba inakata. hivyo waliofanikiwa kwanza hawaweki hizo nukta na hata wanaingiza namba za "a" level sio lazima za "o" level. web ya HESLB hairespond tokea asubuhi leo 09.05.2012
 
Kwaiyo mkuu naeza niingize namba bila nukta maana naona ndio zinafanya nichelewe
 
Jamani eeh! Mimi pia nilifanikiwa kulipia kupitia njia hii. Niliingiza no. yangu ya form 4 kama ilivyo hii S0143.0012.2009,pamoja na nucta zake. Usipoweka nukta haiziwezi kutimia 15 characters. Sasa MAKAH unamaana gani kusema hauweki nukta na unatumia form 6 index namba?
 
Last edited by a moderator:
ahsante nilifanikiwa ...sasa naaza kuzunguka na makaratasi yao kwa wakili na serikali za mitaa
 
Back
Top Bottom