Msaada kuanzisha kampuni binafsi ya kuchunguza rushwa!

Tutafika

JF-Expert Member
Nov 4, 2009
1,443
631
naombeni msaada wa kisheria jinsi ya kuanzisha kampuni ya kuchunguza rushwa na kuweka hadharani bila kushitaki! Tanzania inawezekana?
 
naona wanasheria JF mko bize mnakula rushwa kwanza!, ngoja nitaenda pale REX au IMMMA labda watanisaidia!

Lazima kampuni binafsi ziwepo ili kufanikiwa mapambano ya rushwa!
 
Hain ahaja ya kupata ushauri wa wanasheria si unachunguza tu, ukishapata data za kutosha unamwaga javini, au?
 
Hain ahaja ya kupata ushauri wa wanasheria si unachunguza tu, ukishapata data za kutosha unamwaga javini, au?
kuna haja, nahitaji kujua kuwa hata kufanya hivyo sivunji sheria yoyote! Halafu huo unakua ''under cover'' zaidi. Nahitaji uchunguzi rasmi ambao naweza hata kuomba nyaraka kisheria au hata kuhoji wahusika ikibidi!
 
Private Investigators, huwa wana leseni zao Tanzania au kwa ufupi jisajili kama muandishi wa habari, ni moja ya kazi za "investigative reporters", sidhani kama kuna ubaya mradi tu usivunje kanuni. Jaribu hapa:

:: Tanganyika Law Society Official Website ::

Au hapa:

Tanzania Bar Association - Bar Associations in Tanzania

Au hapa:

GlobaLex - Guide to Tanzanian Legal System and Legal Research
 
i would suggest to Open a TRUST?/ NGO, these type of entity will hide you private interest under public structure. if you are looking for joint venture, to start a business, NGO, trust fund,
ll be happy to help you find one. we can be reach at :

Contact: Gerry

tel: + 255 767 102102
: + 255 655 308308
email: cerengeti@gmail.com
web: home - Powered by CO.CC
 
nashukuru sana kwa michango yenu!, tayari nimeanza kufanyia kazi na kuna dalili nzuri
 
Back
Top Bottom