msaada:kuangalia salio kwa post paid accounts za simu

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,407
1,110
hivi kuna jinsi ya kuangalia salio lililotumika kwenye simu za postpaid?
kama yupo anayefahamu naomba atujuze.
ahsanteni
 
Post paid haina salio ninavyojua. Lenyewe lina bill tu. At any time t unaweza kupata bill yako ukiwapigia watu wa mtandao husika.
 
update:leo nimejaribu ile ile ya kawaida ya *102#,na imekubali,,,kwa mara ya kwanza,na ina category tatu
1.akaunti kuu-prepaid
2.matumizi kwa akaunti ya biashara-postpaid
3.nyongeza ya M-pesa
....my problem is solved
 
Back
Top Bottom