Msaada kuacha tigo

MTM umenena vyema.

Lakini tusisahau kuwa kama hilo jambo halitaki kweli basi ni mhanga na hawezi kuonyesha hata kuwa hataki

Kumwambia nenda polisi haisaidii wala TAMWA.

La kwanza ninalotaka ajiulize ni kwa nini hataki kutoa tigo? kwanza mwenyewe ajue kwa nini hataki ndio kutapatikana ufumbuzi....or else itakuwa ni kufata mkumbo.
 
wakikubaliana sasa mashtaka ya kazi gani?

ndoa za siku hizi itabidi watu wawekeeane mikataba tokea mwanzo. Mimi kitu fulani na fulani offlimit
ni kweli kabisa...

Tatizo baadhi yetu wako kwenye life ya kufikirika na hisia kwani hawajaingia kwenye ndoa

Ndoa ina principles zake na kama kweli huyo dada anaheshimu hiyo ndoa asingesubiri atiwe mara tatu na nyingine hadi aende hospitali

wanasema "once beaten, twice shy" ==== its a shame really
 
Wee POVU!!!
Sa yeye, si ndo anajichanganya mwenyewe.
Mi nifanyeje, aondoke kwa huyo Mwanajeshi.
By the way hujambo wewe.
Hi Mama POVU!

Sasa wewe nawe unakimbilia polisi tu hata bila ya kurejea mafundisho na kiapo cha ndoa??? au mwenzangu bado nini?
 
Kama hataki kweli na alipofanyiwa mara ya kwanza akaumia, alikuwa kwenye denial kuwa mumewe anaweza kumtendea tena namna ile. Kama hataki kweli hadi kufika kusema hapa ni hatua moja nzuri.
Anatakiwa sasa kujiuliza kwa nini hataki?

ni kweli kabisa...

Tatizo baadhi yetu wako kwenye life ya kufikirika na hisia kwani hawajaingia kwenye ndoa

Ndoa ina principles zake na kama kweli huyo dada anaheshimu hiyo ndoa asingesubiri atiwe mara tatu na nyingine hadi aende hospitali

wanasema "once beaten, twice shy" ==== its a shame really
 
MTM umenena vyema.

Lakini tusisahau kuwa kama hilo jambo halitaki kweli basi ni mhanga na hawezi kuonyesha hata kuwa hataki

Kumwambia nenda polisi haisaidii wala TAMWA.

La kwanza ninalotaka ajiulize ni kwa nini hataki kutoa tigo? kwanza mwenyewe ajue kwa nini hataki ndio kutapatikana ufumbuzi....or else itakuwa ni kufata mkumbo.
swadaktaa

siku hizi wanaume wengi wanaamini kwamba wanawake wanatoa tIGO, na waume wengi pia wakishahisi mama katoka nje tu, basi wanajua na tIGO (akiba ya uzeeni) nayo tayari, and as inquisitive as we are, unakuta mtu anajaribu... ukikubali shauri yako. na tuwe wakweli, wake za watu wanaoliwa tIGo hawaliwi nyumbani kwani haiswihi

Tuje kwenye mada... Hivi inaingia akilini kweli mtu anasimika mzizi hadi unshindwa kutembea siku tatu na usipige kelele kweli?

naomba nieleweke hapa, simpsapoti mjeshi ila nina maswali mengi kuliko majibu!!
 
Hi Mama POVU!

Sasa wewe nawe unakimbilia polisi tu hata bila ya kurejea mafundisho na kiapo cha ndoa??? au mwenzangu bado nini?

Mi bado POVU, inamaana huko kwenye kiapo, mnaapa TIGO au,
 
swadaktaa

Tuje kwenye mada... Hivi inaingia akilini kweli mtu anasimika mzizi hadi unshindwa kutembea siku tatu na usipige kelele kweli?

naomba nieleweke hapa, simpsapoti mjeshi ila nina maswali mengi kuliko majibu!!

Mjeshi alimziba mdomo labda.....:s

Au ndio hiyo hofu ya kufanyiwa kitendo hicho.
 
Mi bado POVU, inamaana huko kwenye kiapo, mnaapa TIGO au,

Huwa hawaapi specific lakini kiapo kinakava kulindana, kupendana, kuheshimiana na mambo kama hayo na hasa mwa misingi ya dini... na hata taratibu zake, sikumbuki kuona polisi, TAMWA, JF wala TGNP kwenye referrals za kiapo

Ukikua utaelewa
 
swadaktaa

siku hizi wanaume wengi wanaamini kwamba wanawake wanatoa tIGO, na waume wengi pia wakishahisi mama katoka nje tu, basi wanajua na tIGO (akiba ya uzeeni) nayo tayari, and as inquisitive as we are, unakuta mtu anajaribu... ukikubali shauri yako. na tuwe wakweli, wake za watu wanaoliwa tIGo hawaliwi nyumbani kwani haiswihi

Tuje kwenye mada... Hivi inaingia akilini kweli mtu anasimika mzizi hadi unshindwa kutembea siku tatu na usipige kelele kweli?

naomba nieleweke hapa, simpsapoti mjeshi ila nina maswali mengi kuliko majibu!!

Yaani niache kumpa mume wangu Goti niende kumpa mpita njia??? kweli kuna wanawake wa aina hii? na mume nyumbani hajui kweli? sina hakika na hili MTM
 
Keren,

mambo? kuna usemi unasema kwamba 'mbwa haibi nyumbani"
 
Naona MOD kaziunga hizi threads vibaya..ishapoteza maana yote. Kuna dada hapa alikuwa anaomba msaada wa ushauri kutokana na anachofanyiwa mumewe.

Sasa heading ya thread ilivyo sasa ni tofauti na maelezo yake ya awali. Kama ataweza kurudisha yale maelezo ya yule dada itakuwa ni msaada kwake..Ila kwasasa haina ladha tena.
 
Inaonesha ni kweli ana matatizo haya..lakini inawezekana yapo ndani sana, yaani yamefikia hatua ambayo imemchosha! Pia ni muhimu aweke mustakabali wa mahusiano yake.. mwanajeshi ni nani na miezi 4 ni nani??

Tunapotenga muda wetu kutoa ushauri, ni vizuri tukaambiana ukweli

Si aseme tu ametoa tigo anataka kuacha kuliko kumsingizia mwanajeshi wa watu.
 
Naona MOD kaziunga hizi threads vibaya..ishapoteza maana yote. Kuna dada hapa alikuwa anaomba msaada wa ushauri kutokana na anachofanyiwa mumewe.

Sasa heading ya thread ilivyo sasa ni tofauti na maelezo yake ya awali. Kama ataweza kurudisha yale maelezo ya yule dada itakuwa ni msaada kwake..Ila kwasasa haina ladha tena.

Kwa heshima na taadhima wewe MOD uliyeunganisha ile thread ya huyu dada, irudishe kama ilivyokuwa. Hivi ni vitu viwili tofauti, ndio maana hapa hatuelewani sasa hivi.
Umesikia MOD. Fanya Fasta basi.
 
Back
Top Bottom