Msaada kuacha tigo

dunia zaidi ya unavyoijua................... waweza

A) Kumuacha
B) Kuvumilia
C) vyombo vya sheria vipo kwanza soma sheria ya ndoa
D) TGNP, akina mama Nkya wapo.... waone
E) Unawazazi, mwenzio anawazazi - kaeni
F) kama mna ndoa mna wasimamizi - kaeni
G) mwisho wa siku ww ndo mwenye maamuzi ya mwisho...........
 
Pole sana Ndugu kwa matatizo yanayokukabili ndani ya ndoa yako, naungana na ndugu yangu hapo juu anaposema kuwa huyo mme wako hana mapenzi/upendo wa dhati na wewe, kinachoweza kufanyika kama una ndugu yako wa kike ambae huwa una badilishana nae mambo yako binafsi anaweza kuchukua jukum la kuwaeleza wazazi wako other wise kama utasubiria jamaa akuache hiyo sahau kabisa haitokuja kutokea hata siku moja,
Pia kukaa kimya kwako kuhusiana na mchezo huo inaweza ikawa ni sahihi kwake kuona kuwa yuko sahihi katiki hilo jambo analokufanyia POLE SANA,
 
Hee Fidel80!
Mkuu, mwenzio anasema anaumia avumilie kwani yeye jiwe?
Ampeleke polisi na ahakikishe huyu mtu anaachana naye na serikali amuakikishie usalama wake.
Huyu ni sawa na mnyama anatakiwa kukomeshwa kabisa.
Pole sana dada,
Tafuta msaada wa sheria utakao kuacha huru kabla hujapata madhara makubwa zaidi

Avumilie tu ndo mambo ya Ndoa hayo baadae ataona kawaida.

Nyie mnataka afanyaje? Amnyime mmewe wa ndoa?

Akisha mnyima aanze kuchukua Machangu kisha alete upupu ndani ya nyumba?

Na akisha pata upupu ndo basi tena.

Avumilie aliapa wataishi kwa shida na raha, kwake shida kwa jamaa raha.

Baadae nae atazoea atakuwa anapata raha tu.
 
dunia zaidi ya unavyoijua................... waweza

A) Kumuacha
B) Kuvumilia
C) vyombo vya sheria vipo kwanza soma sheria ya ndoa
D) TGNP, akina mama Nkya wapo.... waone
E) Unawazazi, mwenzio anawazazi - kaeni
F) kama mna ndoa mna wasimamizi - kaeni
G) mwisho wa siku ww ndo mwenye maamuzi ya mwisho...........

Asante ndugu point taken.
 
mama pole na hili jambo.Haya ni kati ya athari za kuharibika kwa jamii ya mtanzania na kama nilivyowahi kusema maswala ya tigo yapo sana katika ndoa(ni wachache wanaosema kama wewe mama),madhara yake utayaona utakapofikia kujifungua pale ambapo hutaweza kumsukuma mtoto vile nyuma pamelegea,ni vema umesema mapema kwani nakushauri uachane na huyu jamaa kwani atakuharibu mapema,pia yeye jamaa hajui madhara atakayopata baadae pale taka zitakapojaa kwenye njia yake ya mkojo na kuziba(kwani na hakika hatumii condom vile yuko kwenye ndoa).Mseme kwa wazazi ili wamkanye na akiendelea achana nae.......
 
mpeleke polisi mara moja...mbona iko wazi sana na wala hakuna tatizo....au unaweza kurudi kwenu...kani kwenu uliua?

kama unaona polisi kutaleta shida basi we rudi nyumbani kwenu........mara tatu zote?????
 
Pole sana Ndugu kwa matatizo yanayokukabili ndani ya ndoa yako, naungana na ndugu yangu hapo juu anaposema kuwa huyo mme wako hana mapenzi/upendo wa dhati na wewe, kinachoweza kufanyika kama una ndugu yako wa kike ambae huwa una badilishana nae mambo yako binafsi anaweza kuchukua jukum la kuwaeleza wazazi wako other wise kama utasubiria jamaa akuache hiyo sahau kabisa haitokuja kutokea hata siku moja,
Pia kukaa kimya kwako kuhusiana na mchezo huo inaweza ikawa ni sahihi kwake kuona kuwa yuko sahihi katiki hilo jambo analokufanyia POLE SANA,

asante nashukuru kwa mchango wako. Ukimya unatokana na vitisho vyake ila sasa nimeamua lolote na liwe.
 
halafu naommba nikuulize....unasema ulienda hosptali....hosp walikutibu? uliwaambia? naomba kujua kama ulmwambia doctor juu ya hiyo kitu na alisemaje.....au ulikaa kimya?

pole sana dadaangu. mambo ya kuiga hayo dadaangu ndiyo yanakuponza. siku zote toka mmeoana hakuwahi kukufanyia hivyo iweje aanze leo. anawaiga watu wengine wanaosifia vitendo hivyo. nakushauri umuache fasta kabla hajakuathiri sana. maana nia yake akuharibu the aje akuache.
 
Avumilie tu ndo mambo ya Ndoa hayo baadae ataona kawaida.

Nyie mnataka afanyaje? Amnyime mmewe wa ndoa?

Akisha mnyima aanze kuchukua Machangu kisha alete upupu ndani ya nyumba?

Na akisha pata upupu ndo basi tena.

Avumilie aliapa wataishi kwa shida na raha, kwake shida kwa jamaa raha.

Baadae nae atazoea atakuwa anapata raha tu.

Una dada mkuu??
Dada yako akija ana matatizo kama hayo huo ndio ushauri utakaompa??na wewe toka ndani ya moyo wako utakuwa umeridhika kabisa ya kuwa ushauri ulioutoa ni sahihi kabisa.
Nakupongeza kaka.
 
pole sana mamii,haya mambo yapo siku hizi yapo sana katika ndoa,isipokuwa wachache mno huyazungumzia kwani ni kama aibu fulani.huyo m.me hakutakii mema,ukishaharibika ataenda kutafuta mwengine.chukua uamuzi unaokufaa wewe haraka iwezekanavyo kwani atakusumbua kila siku. inasikitisha kwake yeye anakuchulia kama chombo cha kujistarehesha yeye tu na si vinginevyo
 
Pole sana dada hiyo kitu haikubaliki kama malaria,amejifunzia wapi hako kamchezo kabaya?hivi hamna wale wasimamizi wa ndoa au washenga wenu?wajaribu kuongea nae kirafiki na kumshauri aache huo unyama aisee.Hayo sio mapenzi atakuharibu:redfaces:
 
:shock: pole sana...hii issue inasikitisha sana. kama umefunga ndoa..kuna washenga anza nao halafu mnaweza kulifikisha kwa viongozi wenu wa dini...kama padri..shekhe. Usione aibu kumdhalilisha kwan umekushakuathiri kisaikolojia na pia utu..thamani yako ameifukia ardhini. Very Sad
Hamjambo wana jamvi, nina hili tatizo ni miezi mitatu sasa. Mume wangu anataka tigo, ni mtu wa miraba minne ana kilo 110 ni mwanajeshi. Kuna siku akanitigo kwa nguvu, nililia sana nikashindwa hata kutembea. Sasa imekuwa kila baada ya muda fulan anataka tigo. Mpaka sasa kanifanya mara 3. Nimeenda hospital nikapata matibabu. Sasa ananitisha sana nimejaribu kumweleza kaka yake, kipondo nilichopata hakina mfano. Binafsi sipendi huu mchezo kabisa najua madhara yake. Kuniacha hataki. Naumia sana moyoni. Kuwaambia wazaz naogopa. Nisaidien mkakati wa kujitoa kwake au nikashtakije kwa wazazi. Naamin Jf ni sehem sahihi ya kupata michango ya kujenga.
 
Aisee, pole sana.
Inasikitisha kwa mtu aliyeahidi kukulinda katika hali zote, lakini anaonesha ubinafsi wa hali ya juu!
Sijui nia yake ni nini?
Samahani dada, ingawa hujatueleza umri wako, au hata dini yako, na kama una watoto ?
Itasaidia kwa wachangiaji kuweza kukupa ushauri wenye kujenga zaidi bila kukisia.

Kwa mie ningeshauri uwaone viongozi wa dini huko mnakoabudu. Waeleze yote. Pia unaweza kumuona bosi wake hapo jeshini, then urudi nyumbani kwenu kwa wazazi wako mpaka atakapokuja kukuahidi kwa kuomba msamaha wa kutorudia tena. Haya nayaongea niki-assume kwamba utaweza kujikimu kimaisha, maana watanzania wengi umaskini unatufanya tushindwe kufanya tunayotaka.

Pia kama unafamilia yenye watoto wadogo, kama akichukuliwa hatua za kinidhamu kuna mzigo wa kuwatunza watoto..any hebu tuweke wazi kama una watoto au?

Anahitaji kukuheshimu, na ajue kabisa kwamba unapata maumivu, wewe ni binadamu sio mzigo au ngo'mbe. Ni lazima umshinikize aweze kuyafahamu haya.
 
Back
Top Bottom