nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,281
- 3,243
Natumaini mu wazima week end hii,mi naomba mjadili hili swala la mapenzi kinyume cha maumbile(tigo)katika ndoa kwani katika mijadala mingi jambo hili hujadiliwa haswa linapokuwa nje ya ndoa lakini kuna watu walioko kwenye ndoa ambako jambo hili hutokea sana lakini halijadiliwi kwani watu huona kama vile si mahali pake vile!lakini ukweli ni kwamba lipo na wenzetu wazungu hulijadili waziwazi huku baadhi yao wakisema kufurahishwa sana na mchanganyiko wa tigo na ngono mbabadala kwenye ndoa zao na hili eti hudumisha penzi.Ebu wana jamii tulijadili hili kwa wenye maoni zaidi.Mi bado sijaoa hivyo naondoa swala la conflict of interest.