Msaada ku-weka picha zinazocheza (Movie -clip)

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
13,370
11,089
Wakuu naomba tena msaada mnijuze, hivi kuweka picha (upload) kwenye thread ambazo zinacheza kutoka kwenye website au File la Computer unafanyaje maana ukii- save as picha ya kawaida ya GIF na kuipeleka kwenye File la kawaida utaiona inacheza sasa ngoma unapoi-Attach kwenye Manager ya JF ukishaituma tu ikifunguka haichezi tena inakuwa PNG na sio clip ya movie
inapotoka katika website naelewa kwamba inabidi uisave tena kutoka ktk Mozilla au Google Chrome na kuisave as km GIF sijajaribu Internet Explorer
Nisaidieni
 
Back
Top Bottom