MSAADA ku unlock simu HTC THUNDER BOLT/MECHA

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Naomba msaada ku unlock simu hiyo ili niweze kuitumia.
Ahsanteni kwa MSAADA
 
maelezo hayajajitosheleza kuweza kusaidiwa atujui kama ina password au special code
 
maelezo hayajajitosheleza kuweza kusaidiwa atujui kama ina password au special code

Ni special codes/password sina hakika ila ilikuwa inatumiwa na mitandao ya verizon na haikubali mitandao yetu.
Thanks in advance.
 
drphone vp tena?
Umeniacha njia panda.
Simu nikiweka line inasema "line haitambuliki".
Please MSAADA is needed Urgently.
 
Naomba msaada ku unlock simu hiyo ili niweze kuitumia.
Ahsanteni kwa MSAADA

Hi urahisi unaweza kufungua radi yako HTC bolt kwa kutumia kufungua code. Kama unahitaji kufungua kanuni ziara hii Wickedunlock.com tovuti hapa unaweza kupata kanuni kufungua na kufungua radi yako HTC bolt. Ili kupata kanuni una taja maelezo yafuatayo ambayo nchi imefungwa sasa, mtoa mtandao na idadi IMEI. Kisha wao kutuma kufungua kanuni kupitia barua pepe.
 
Line zake huwa ziko tofauti na hizi za bongo, hicho kibati cha katikati kwenye chip huwa viko tofauti vya huku bongo ni vyembamba na vya kule kwa wenzetu ni vipana kwa hiyo ukiweka line ya bongo haiwezi kusoma au km unaweza kupata zile chip za zamani ndio itasoma.
 
Verizon wanatumia CDMA wakati bongo makampuni mengi ni GSM, siri ya simu za Verizon na Sprint ni kwamba kabla ya kuinunua google angalia kama simu ina uwezo wa kufanya kazi kwenye GSM network. Zenye uwezo huo zina itwa world phone na zina radio mbili moja kwa CDMA na pili kwa GSM.
 
Back
Top Bottom