Msaada ku-unlock modem ya tigo

Model E153u-1
IMEI 869604001802726

mordem hiyo haifunguliwi kwa EMEI no. download hii software E153 Express Unlocker.zip than iweke ktk desk top chukua mordem yako weka line nyengine kama ni airtel chomeka mordem itatoa wornig only the specified sim/usim card can be used we click ok baada ya hapo fungua ili program ulio iweka ktk desk top ita search halafu ita andika done we click ok na mordem itakuwa imesha funguka tayari kwa kutumia kumbuka kwamba hiyo ni temporay unlock kila utakapo chomeka mordem utatumia njia hiyo karib jf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom