Msaada Ku Unlock Modem ya Airtel Huawei e3531s-1

Jawai

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
530
405
Habarini za leo wana jamii,

Ninaomba msaada ninahitaji ku Unlock Modem ya Airtel Huawei e3531s-1

Asanteni sana.
 
Jamn nahitaji fundi cm aliebobea kwenye maswala ya softwere na cm huawei g.610 imewashinda mafund wengi so nahitaji msaada wa haraka vilevile nina cm HTC inahitajika boots file mwenye uwezo tuchekiane kwa dsm namba Yang 0714 591693
 
Habarini za leo wana jamii,

Ninaomba msaada ninahitaji ku Unlock Modem ya Airtel Huawei e3531s-1

Asanteni sana.

Hizi Modem za Airtel kama haziombi Unlock Codes Tafuta Firmware ui Flash itatoka Lock

Nimeona Thread Nyingi mtu anaomba msaada wa Ku unlock modem lakini hatoi details za Msingi

Full Model: Huawei E3531S-1
Serial Number:
IMEI: Japo sometimes ni confidential

Juu ya Yote kabisa Mtu lazima ueleze ukiweka Line ya Mtandao mwingine unapata response gani?
Je inaomba Unlock codes au ina customized firmware inabidi kuibadili na Lock inatoka
 
@Njunwa Wamavoko nami naomba msaada kama uo wa mtoa mada,nina modem kama yake ya airtel 3531s-1 ila nimejaribu ku unlock kwa kutumia huawei dc modem unlocker client ila cha kuchangaza ina sema modem not found,pia nimejaribu kutafuta software nyingine inaitwa huawei modem unlocker ila pia haionyeshi com port ili modem iweze kuonekana,hapa mm ndio nina kwama kuendelea ku unlock.
 
huenda ni hi-link ndo maana COM-PORTS hazionekani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom