Msaada ku track simu ya Tigo

komredi ngosha

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
382
71
Leo nimeibiwa laptop na simu yenye laini ya Tigo mpaka sasa iko hewani. Naomba mwenye ujuzi wa haya mambo tuwasiliane. Help pls !
 
Wasiliana na polisi kisha wao wanamamlaka ya kufuatilia on your behalf baada ya kupangiwa mpelelzi aliyebobea katka IT. Kama uko jijini hii ni rahisi. Asante
 
Back
Top Bottom