Nadhani pia speed ya airtel sasa imepungua sana kwa ujumla. Mwenyewe sijaondoka eneo lakini sasa napata EDGE sijui kwa nini speed imekuwa ndogo sana. Hebu tuone wataalamu labda watatupa maujanja
dah! nimejaribu mkuu lakin imekataa, software nayo2mia ni default, (inayokuja na modem ya airtel)!! ninakasimu changu kana 3g natumia tigo naona speed iko poa kuliko voda na airtel ingawa napata EDGE!!!
kuna jamaa mmoja alisema inabidi uiweke kwenye sufuria hiyo modem yako unachotakiwa nikununua cable ambayo itaruhusu kufikia hilo sufuria..hapo anakuambia haiwezi kupoteza signal ya 3G hata kidogo try it mkuu..
hyo nimejaribu mkuu lakin sikufanikiwa, sijui kwa vile nlkuwa chumbani, coz wanasema 3g signals znawakuwa broked with thickwalls and glass windows! halafu kitu kingine, sikuwa na ile shining cable as someone suggested!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.