Msaada ktk Acer Iconia A200 Please...!

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
18,925
49,202
[h=6]nilikua natumia tab yangu ya acer iconia A200 jana, ikawa betry low (5%) so nika plug ktk charge then nikaendelea use. baadae kidogo nika switch off (ikiwa bado ktk charge) then nikaiacha kama nusu saa ikiendelea kuchaji. then nika unplug na kuweka.
asubuhi ya leo nahiwasha haiwaki, nachomeka chaja haioneshi ata dalili za kuingia (kitaa cha kuonesha umeme unaingia hakiwaki).
sijadondosha wala anything else na ni mpya kabisa (less than month old)
...[/h]
 
Back
Top Bottom