msaada kozi nzuri kwa tuliosoma HGE of EGM

Abloodi

Senior Member
Oct 27, 2011
165
12
nahtaj msaada wenu wa coz na zenye dili kwa sasa kwa tuliofaulu HGE o EGM.
 
kweli elimu ya siku hizi ni zaidi ya tatizo.wewe ulipochagua hizo combinations ulitegemea kusoma course gani?
 
Kwani wakati unaenda kusoma hiyo EGM/HGE uliomba ushauri? kama sio, wakati unachagua comb hiyo ulilenga nini? kifupi timiza malengo yako na sio kulia lia hapa jukwaani.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
nahtaj msaada wenu wa coz na zenye dili kwa sasa kwa tuliofaulu HGE o EGM.
Ndugu unachekesha?Ukweli akuna raha kama kusomea na kufanya kazi ile fani uipendayo!na nnakusikitikia sana ndugu kwani unapotea
 
nahtaj msaada wenu wa coz na zenye dili kwa sasa kwa tuliofaulu HGE o EGM.[/QU. Unaweza omba AGRICULTURAL ECONOMICS AND AGRIBUSINESS-SUA. Ila mzik wake lazima ujiandae kubundi kama advance, sua ukileta mchezo utamaliza chuo ndan ya mwaka 1
 
NIKUMBUKE,yuko sawa piga ABROBUSINESS kwan mkopo ni 100%,pia iko hot popote pale unafit
 
Tembeleeni Ardhi University kuna kozi nzuri sana kwa waliofaulu kombi zenu, zenye future nzuri.
 
hebu cheki hizi.. bachelor ya economics, ya Accountancy, ya economic development, ya procurement, ya economics and statistics. Zote ziko poa ila ukipata directory ya vyuo itakuwa poa zaid.
 
Kwani wakati unaenda kusoma hiyo EGM/HGE uliomba ushauri? kama sio, wakati unachagua comb hiyo ulilenga nini? kifupi timiza malengo yako na sio kulia lia hapa jukwaani.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

***** nini wewe?
 
nimeamini kweli ule usemi usemao.........kwamba elimu ya tanzania ni ngumu na mbovu sana sasa sijui alaumiwe nani
siamini mtu unamaliza form six hujui hata ukasome nini......
 
nahtaj msaada wenu wa coz na zenye dili kwa sasa kwa tuliofaulu HGE o EGM.
Bwana mdogo, hapa hatutumi SMS wala kuchati.
Siwezi kukulaumu kwa kusoma 'combination' usiyojua kesho utaifanyia nini, maana huo ndio mfumo mzima wa elimu hapa kwetu Tanzania. 'Marks' zisipotosha unaishia kusoma kitu ambacho hata akilini hakikuwapo. Kwa hapo ulipofikia unaweza ukasoma degree ya aina yoyote ya biashara na ukawa fisadi. Jaribu kusoma kile unachopenda, usiangalie pesa zaidi.
 
Unapouliza usome 'kozi gani nzuri' NZURI KWA NANI? Kila mtu ataongea kozi nzuri kwake, Yaani hadi unamaliza six yako na kombi yako hukuwahi kufikiria utasoma kitu gani? Au matokeo yamekuja by chance! Wengine tulikuwaga na vipaumbele vyetu mapema tukiwa shule!
 
una cut-off points ngap? ukiambiwa Acturial sciences utahimudu??
 
Back
Top Bottom