Msaada kisheria

PANGALELI

New Member
Apr 20, 2012
1
0
Halo watanzania wenzangu Mimi ni mwalimu nafanyakazi mkoa wa Lindi tena wilaya ya Lindi vijijini nasikitika kwamba mwajiri wangu amenikata mshahara kwa sababu za mgomo wa walimu uliopita.
Inaniuma sana kwani mazingira ninayofanyia kazi ni magumu lakini pamoja na ugumu wake mwajiri wangu badala ya kunifariji ananiongezea ugumu si wa mazingira tu bali sasa ni wa waisha.
Ombi langu kwenu wanasheria naomba msaada wa kisheria ili niidai haki yangu.
 
Back
Top Bottom