Msaada kisheria; naweza kuishitaki mahakama kama haitendi haki?

High court haiwi bind na hukumu ya high court inakuwa bind na Court of appeal judgement

Nami nilikuwa naamini hivyo. Lakini kilichonishangaza ni ile hukumu ya Court of Appeal kwenye kesi ya uchaguzi Arusha kuwa wapiga kura ambao sio wagombea hawana haki ya kupinga matokeo ya uchaguzi mahakamani lakini court of appeal tena ikakataa maamuzi kama hayo kwenye kesi ya Wassira na Bulaya na kuamuru kesi isikilizwe upya kwani wapiga kura wana haki ya kufungua kesi.
 
Jambo hilo limenishangaza sana! Hivi unaweza kupata hukumu hiyo tuone ratio decidend ya bulaya ilikuwaje!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom