MSAADA: kipi chuo kizuri hapa Dsm cha Masuala ya Uandishi wa Habari,Radio and Tv Broadcasting?

Dar Royal College kiko pale Urafiki-Ubungo(kila kitu kiko pale wana na studio ya kurushia matangazo)
 
Dar Royal College kiko pale Urafiki-Ubungo(kila kitu kiko pale wana na studio ya kurushia matangazo)

asante sana ndugu! Vipi kimesajiliwa na Serikali. Maana hili nalo lina kasumba yake!
 
Siku hizi hiyo sekta watu wanaajiri kwa kuangalia vipaji sana na sio elimu au kama we ni muigizaji ,mchekeshaji au mtu maarufu
 
Siku hizi hiyo sekta watu wanaajiri kwa kuangalia vipaji sana na sio elimu au kama we ni muigizaji ,mchekeshaji au mtu maarufu
kweli Mpoki alikuwa Muigizaji sasa hivi ni Mtangazaji,Monalisa pia,kuna yule wa radio free wapo wengi in short hyo Tasnia kwasasa wanaangalia vipaji
 
Back
Top Bottom