msaada khs condoms..n mimba

MESSI

Member
Apr 3, 2011
38
2
swali la kwanza:nini hasa kinachochangia kupasuka kwa condoms wakati wa tendo la ndoa??
swali la pili:by any chance mwanamke anaweza kupata mimba akiwa ktk siku ya 22 au 23 ktk mzunguko wake??
 
Mzee inaonekana ushaharibu mambo huko pole sana. Yah, ni possible kwa mwanamke kupata mimba siku ya 22 au 23 ya mzunguko wake. Si wanawake wote wana mzunguko sawasawa. Wapo wale ambao mzunguko wao unakwenda siku 21, wengine 28 na wengine 35 na kuna wengine ambao siku zao zinabadilika kila mwezi. So usirely kwenye siku ya 14 ambayo wengi wanaelekezwa.

Kuhusu kupasuka kwa kondom, hili ni jambo ambalo linatokea kwa nadra. Linaweza kusababishwa na ubora mdogo wa kondom au kukauka kwa majimaji kule mahali na kufanya msuguano ufanyike mahali pakavu. Hili pia husababisha mchubuko kwa mwanamme na mwanamke. Ni vema kubadilisha kondom mara uonapo imekuwa kavu. Si lazima kwamba condom moja itumike hadi mwisho. Ikitokea kondom imekauka kabla hujamaliza basi ibadilishe.

Hope maoni haya yamekusaidia.
 
mkuu kitu ilipasuka bt nliwahi kuitoa so hazikumwagika ndani nyingi..huyu wangu ni wa siku 28..hapo je?
 
suala la kondom kupasuka siku izi limekua siriaz sana.....hasa kondom fulan ivi zilizopewa jina la mwanaume......ziko very hovyo ukijitia kuweka mbwembwe fasta zinapasukia tena kwa juu kabisa km ulikua speed mpaka uje ushike break tayari vimeshaingia virus bora yako ww aliingia mtoto....tuwe makini vijana na makondom tunayoyaparamia....be smart n selective...mimi yamenikuta!!at least salama condom ni imara sana
 
Pole,the red marked portion ktk maelezo yako ni tosha kabisa kwa ur g/friend kupata mimba.
 
suala la kondom kupasuka siku izi limekua siriaz sana.....hasa kondom fulan ivi zilizopewa jina la mwanaume......ziko very hovyo ukijitia kuweka mbwembwe fasta zinapasukia tena kwa juu kabisa km ulikua speed mpaka uje ushike break tayari vimeshaingia virus bora yako ww aliingia mtoto....tuwe makini vijana na makondom tunayoyaparamia....be smart n selective...mimi yamenikuta!!at least salama condom ni imara sana
<br />
<br />
nashukuru sana kwa mchango mkuu..me nlitumia salama bt i gues somethng went wrong..
 
Back
Top Bottom