Msaada khs Betri wakubwa!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wadau naomba kujuzwa vp kuna laptop hapa amekuja nayo ndugu yangu betri haifanyi kazi mpaka kutumia power cable(charger) hivi kuna uwezekano wakuirekebisha hii betri ikafanya kazi? Na je kwamfano kununua mpya inakuwa bei gani na ubora wake unakuwaje?
 
tafuta universal adaptor Kat ya Tshs 50,000 - 80,000/= mpya kama sikosei...na zinafanya kazi poa tu!!!
 
hakuna uchawi zaidi ya kununua betri mpya ambayo gharama zinapishana ila haizidi laki na nusu.
 
Back
Top Bottom