Shark's Style
JF-Expert Member
- Oct 27, 2010
- 311
- 182
Wadau ninashida na Program ya netbeans IDE nimeinstall ila nashindwa ku-compile nikitaka ku compile inaniambia "preparing to build on local host" na kisha nakuja dialog box nyingine inayosema "Resolve missing native build tools" so nimestuck hapo na sijui cha kufanya lakini nimejaribu kucheck online nimeona kuna buid tool inaitwa "Mingw" nikainstall ila bado tatizo lipo palepale nikadownload na nyingine tena inaitwa Cygwin nayo kuinstall bado tatizo lipo palepale na nimeshindwa cha kufanya, msaada wenu ni muhimu sana wadau,
Regards,
Shark's Style.
Regards,
Shark's Style.