Msaada Katiba ya RAAWU(The Researchers, Academicians and Allied Workers Union)

utemi

Senior Member
Mar 27, 2011
167
23
Tafadhali kama kuna mtu anayeweza kunisaidi soft copy ya katiba ya RAAWU (The Researchers, Academicians and Allied Workers Union). anomba anisaidie.
 
Hii katiba mkuu umeipata???? Siamini nachangia uzi wa miaka 10 nyuma na nashika nafasi ya 3. Maisha ni fumbo amini hivyo 2035 nitakuwa mbunge wa kuchaguliwa na wananchi.
 
Back
Top Bottom