Zipuwawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 3,051
- 653
- Thread starter
- #21
Jaribio la kupata vitu vyako likae hivi, uandaliwe mtego itakwenda gari ikiwa na bag yenye laptop mbovu, vitu viwekwe waziwazi ndani ya hiyo gari, atendesha mwanamke kuingia nayo m/c awe pekeyake kwenye gari, akishuka aingie ndani ya jengo kuelekea supermarket, asigeukegeuke kuangalia gari ili kuwatoa wasiwasi hawa vibaka, watakapoanza kutekeleza ukibaka wao mtego utakaokuwa umetegwa kwa uangalifu mkubwa utafyatuka na kuwakamata, watapata kibano cha maana hadi wataonyesha walipouza mzigo wetu. 0787999608, nipo tayari kusaidia ku-set trap.
Asante ndg yangu nitakutafuta ili tufanikiwe kwani hii ni njia nzuri sana.