Msaada juu ya kupata kazi au interniship

just-imagine

JF-Expert Member
Aug 18, 2015
374
448
Mimi ni kijana wa kiume nimemaliza elimu yangu ya degree (shahada) ya ACCOUNTING,
Nilikuwa naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata kazi au hata internship ya ACCOUNTING au FINANCE aweze kunisaidia...

Kwa sasa nakaa Dar es Salaam ila nipo free kufanya kazi mkoa wowote...
..Natanguliza shukrani, kwa mawasiliano
# 0757-006-221
 
Yaan sasa hivi hata kupata internship ni ngumu sana, volunteer ni ngumu sana utazunguka maoficin kama hakuna mtu wa kukusimamia ni shida
 
Mkuu kuwa mvumilivu kiuhalisia hali ni ngum sana ya ajira ila unaweza kuwa mwenye bahat ukapata ,,bt tupo weng km ww tumetafuta kaz tukachoka na kuamua kujiajir tu
 
Endelea kujisomea. Usigawe madaftar ukafikiri umemaliza.. apply utaitwa kwene interview..try ur level best kureflect alama za kwene cheti chako.
All the best
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom