Msaada juu ya huu mzigo wa masomo walionao hawa wadogo zetu drs la kwanza...

daby mouser

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
206
72
.naskia drs la kwanza wana masomo kumi na moja??jee ni
ya kwel na ningependa kupata list ya hayo masomo?na mtihani wa drs la nne umefutwa hapo vp pana
ukwel?NI TAARIFA AMBAZO NIMEZIPATA HIVI PUNDE SO SINA UHAKIKA NAZO!NAOMBA MSAADA KWA
HILI!
 
Kama huna uhakika,hoja yako haina mashiko!Masomo ni haya;hisabati,fizikia,kemia,biolojia,jografia,kiswahili,kingereza,stadi za kazi,historia,uraia na tehama.Kama hayajatimia,kamuulize mjumbe wa nyumba kumi wako!
"THE_EMPEROR BABY"
 
Mkuu The_Emperor, Mdau daby mouser anaomba kujulishwa/kufahamishwa na ndio maana akasema hana uhakika.
Mbona unamjibu kama unamsuta?
Nahisi kuuliza si ujinga, ukimuelimisha yeye umeelimisha jamii pia maana ni wengi wanapitia/kusoma thread hapa JF.
 
Back
Top Bottom