Msaada juu ya blog.

Hkeen

Member
Aug 17, 2011
95
4
WanaJf nihabarishen juu ya maada zinazo hit kwenye blog zaid na zinazokubalika(vutia) kwa wasomaji wa blogs? Ni jina gan niipe blog yangu? Na maada gan zitawale? Nataka nifungue blog iliyo bora zaid.
 
WanaJf nihabarishen juu ya maada zinazo hit kwenye blog zaid na zinazokubalika(vutia) kwa wasomaji wa blogs? Ni jina gan niipe blog yangu? Na maada gan zitawale? Nataka nifungue blog iliyo bora zaid.

Kuhusu mada ni mara nyingi zinazotakiwa kutawala ni mada za fani yako wewe. kama ni datkari, mwanasheria, mganga wa jadi, mwalimu, mfanyabishara, mwanasaikolojia, fundi wa magari. computer technician. Kila taaluma au fani inaweza kuwa topic kibao za kublog

Ukilenga fani yako na mambo unayopenda utapunguza copy and paste lakini kusburi watu wakuamulie mada gani itawale kwenye blog yako utaishia copy and paste ambazo binafsi naona zinatawala blog nyingi. Tena naona blog nyingi ni another version of issa michuzi au blog nyingi ni another version of magazeti.

Kingine kinachweza kuathiri maamuzi yako ya mada ni malengo yako. Je lengo kuu la wewe kuanzisha blog ni nini ? :-

  • Ni kupata financial gains? kama ni hili hapa suala taaluma yako itabidi uliweke kapuni tafuta kitu wanachopenda watu. Probably watanzania tunapenda Siasa na mahusiano au mapenzi teh teh teh teh . So ukianzisha hivyo vitu ukaimaret vizui utapata watu teh teh teh
  • Ni just to share knowledge , skiils na life experience zako na jamii basi itabidi uwe na blog ya mambo uliyo compentent nayo . kama ni fnacial gain inaweza kuipata lakini haikuwa lengo kuu. So utakuwa na faida mara dufu.
Otherwise uki goggle neno kama "chooisng a blog topic" or "choosing blog name" utakutana na ushauri kama hizi
How to Choose a Niche Topic for your Blog
How To Choose A Profitable Niche Blog Topic
Blog Topic - 5 Tips to Choosing a Blog Topic


 
Angalia nini unapenda kaka,kama ni soka hakikisha uko interest na soka,kama ni computer technology pia jitahidi uwe familiar na mada zako na intention ya kuanzisha hiyo blog!!uamuzi ni wako!Umenisoma natumai!
 
Back
Top Bottom