Msaada juu ya bachelor of procurement

the global college kipo mtoni kwa azizi dsm na kimesajiliwa...ukifika pinda kushoto ulizia kwa mama chausiku...opposite utaona bango.
 
Thanx to GOD mtoa maada hapo juu nimemaliza chuo!BACHELOR OF PROCUREMENT AND LOGISTICS MANAGEMENT hapo TIA-TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY.
Najiandaa na bodi hapo november 2014
 
Thanx to GOD mtoa maada hapo juu nimemaliza chuo!BACHELOR OF PROCUREMENT AND LOGISTICS MANAGEMENT hapo TIA-TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY.
Najiandaa na bodi hapo november 2014

pole mkuu na mikikimikiki ya kina Petro.. ngoja sisi tuliendeleze.
 
----- mwenyewe kiboko!!umeshindwa kuelewa pos iliwekwa lini kiboko...sometimes kuna raia mnaboa!!kuwa makini nilipost hii kitu kabla sijaomba tcu na baadae nikaomba na kuchaguliwa TIA.Na mwez huu,mwaka huu nimemaliza....kosa langu gani....
 
Nadhani mdau utakuwa ushapata kitengo kikubwa sana hapa nchini cha manunuzi ebu tuambie kozi ina maslahi au ni magumashi???
 
Back
Top Bottom