Msaada juu ya bachelor of procurement

Muccobs ndo waasisi wenyewe wengine wanatoa lakn kwa pure digrii ndo walianza wao, wako fresh
 
Ningekushauri usome UDSM, lakini bahati mbaya hii course imesimamishwa kwani asilimia kubwa ya walimu wapo nje kimasomo. Asikudanganye mtu UDSM wanatoa degree ya materials management ambayo unaweza kufanya kazi mahali popote, ziwe NGO's au serikalini. Jaribu tu kusoma huko kwingine wanakokushauri ili uweze kuwa expert kwenye manunuzi ya serikali tu!

hivi itarudi kweli? Management sciences ni baba wa yote wayazungumzayo
 
Jamani wanajamvi nahitaji msaada juu ya chuo kizuri kwa kusomea bachelor of procurement nchini tanzania...

kaka mimi nakushauri kama unauwezo wa kifedha nenda kasome ulaya au India vyuo vyote vya tanzania ni magumashi tunasoma ili tufanye mtihani ukitoka hapo mweupeee
 
Elimu popote..asikutishe mtu,
Wewe kasome degree yako/advance..then ukimaliza fanya mitihani ya NBMM! Ukipata CSP yako haijalishi ulisoma chuo gani!

Rejao nenda kahuishe kumbukumbu yako. Hiyo kitu NBMM haipo tena, siku hizi kuna PSPTB.

Madhara ya kusomeshwa na ccm elimu ya watu wazima na kuletwa JF sasa unakosa muda wa kujiendeleza. Lol
 
hivi itarudi kweli? Management sciences ni baba wa yote wayazungumzayo

mwenzenu anazungumzia procurement and supply mgt nyiny mnazungumzia material mgt nin hiki c kwamba udsm wamesimamisha ilikuwa inaupungufu fulani, dats y hata bodi baada ya kufanya review wakaona huyu mtu anamanage material how about procurement? Technicials/engineers ambao pia ni msaada kweny procurement kwa mambo ya specifcatn, So wakaamua kubadili jina na kuwa Procurement and supplies and technician board (psptb) dats y udsm ni founder bt wako outdated coz program yao inamapungufu makubwa kwa kubase kweny material mgt lakn nenda muccobs, mzumbe na vyuo vingine utaweza, kununua, ugavi, as well kumanage material ambayo umenunua na utalisaidia taifa coz 80% ya budget ya serikali inaenda kweny manunuz. Na ndo maana mtu aliekuwa anamaliza udsm kwa material mgt alikuwa anafanya mitihani ya bodi ya nbmm na kupata csp(certisified supplies profesional) lakn leo hatuna hicho ki2 tuna graduate wa psm frm mzumbe, muccobs etc na wanafanya mitihan ya bod psptb na kupata cpsp(certisified procurement and supplies professional) . Mwisho udsm ni founder lakn kwa sasa hawako uptodate with current need, ikumbukwe kwamba b4 kazi ya kufanya purchases ilikuwa inafanywa na wahasibu kwa hy mtu wa material mgt ya udsm kaz yake ilikuwa ni issue ya kustore, stock check, ku issue na c purchases
 
mkuu,unaipigia promo muccobs balaa..ila thanx ume2fumbua macho na wengne,binafc nlikua najua Procurement iko mzumbe na IAA.
 
c kwamba napigia promo chuo fulani, nkwambie ki2 kwa waliosoma procurement and supply mgt, haijalishi ni wa muccobs, saut, mzumbe, iaa, tia, cbe au udsm mwamuzi ni psptb na wote graduate mtafanya paper profesional stage iv na v zen research, so atakaye piga fresh ndo katoka na haijalishi katoka chuo gani ila atakuwa certisified procurement and supplies profesional.
 
SIO CSP NI CPSP

MUCCOBS au IAA then fanya mitihani ya CSP
 
hivi kunatofauti gani kati ya bachelor of science in computer science na bachelor of science with computer science? ? ? Na ipi ndo ipo fresh?
 
hivi kunatofauti gani
kati ya bachelor of
science in computer
science na bachelor of science with computer
science? ? ? Na ipi ndo
ipo fresh?
 
Hiv umeelewa mada alyoitoa mwana hapo juu au umekurupuka 4m no where na kutupachikia mada yako? cha mcng hata cku nyngne changia mada ulyoikuta kwanza af nawe utoe thread yako so jifunze kuelewa nini unapaswa kufanya mtu akiwa ameomba msaada!.Thanx kama utakua umeelewa hil somo!.
 
**** mzembe wewe! Kwanini nawewe usingechangia swali nililouliza afu ndo useme mambo mangine... Mjue watu wengine mnauzi kishenzi yani, sijui mnataka tukosane na muumba wetu! Manake mnaboa kishenz yanii!

Nashukuru kamautakuwa umeelewa hii practical.
 
Hiv umeelewa mada alyoitoa mwana hapo juu au umekurupuka 4m no where na kutupachikia mada yako? cha mcng hata cku nyngne changia mada ulyoikuta kwanza af nawe utoe thread yako so jifunze kuelewa nini unapaswa kufanya mtu akiwa ameomba msaada!.Thanx kama utakua umeelewa hil somo!.

Faaalahhh mzembe wewe! Kwanini nawewe usingechangia swali nililouliza afu ndo useme mambo mangine... Mjue watu wengine mnauzi kishenzi yani, sijui mnataka tukosane na muumba wetu! Manake mnaboa kishenz yanii!

Nashukuru kamautakuwa umeelewa hii practical.
 
Faaalahhh mzembe wewe! Kwanini nawewe usingechangia swali nililouliza afu ndo useme mambo mangine... Mjue watu wengine mnauzi kishenzi yani, sijui mnataka tukosane na muumba wetu! Manake mnaboa kishenz yanii!

Nashukuru kamautakuwa umeelewa hii practical.

dogo usijione mjanja kwa kutumia lugha mbovu namna hiyo eti kwakuwa hatukuoni....jieshimu maana humu kuna watu wenye rika tofaut tofaut haipendez kwa wao kuziona hizo lugha...nadhani umenielewa.
 
aksanteni saana wadauuu,kimsingi nimefunguka ila kuna mdau mmoja kaniuliza kuwa kama nishapata ya nn kuuliza. jibu ni rahisi;NILIITUMA HII THREAD NIKIWA KATIKA HARAKATI ZA KU APPLY na mwisho wa siku baada ya TCU kuachia nikatoa nilichokipata. So pamoja saaaaaaaaana wanaharakati wooooooote............
 
Kasome popote tu mwisho wa siku ufaulu final paper na research za PSPTB.Bro wangu alinzaga foundation mitaani na private na sasa ana Cpsp life goes on na yuko sawa kabisa.Na mimi nimesoma Ardhi University lkn nimeona pia niongezee na haya mambo November napiga P1 na Inshaalaha CPSP NTAIPATA.Mji hautaki Mbwembwe jamani.
 
Back
Top Bottom