Msaada: jinsi ya kuunganisha nokia na mobile internet ya Tigo.

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,285
nakumbuka zamani ulikuwa unaandika aina ya simu na model number kwenda number 500 but nimejaribu hiyo ila inakataa...simu yangu ni original sio mchina...
 
Yaani hao jamaa huduma zao ckuhizi mpaka zinaboa.Hata mimi nilijaribu sana hiyo njia lkn ikashindikana,nikajaribu kuongea nao wakaniambia niende nikaonane nao wenyewe kwenye vituo vyao,nilivyoenda ndo wakaniunganishia.Lakini kunabaadhi ya cm co lazima uende ukawaone,zina ka software ambacho wamekinstall(walipoitengeza) kwa ajili ya kutafuta internet available,e.g c5-00 inayo hyo software
 
nakumbuka zamani ulikuwa unaandika aina ya simu na model number kwenda number 500 but nimejaribu hiyo ila inakataa...simu yangu ni original sio mchina...
Jaribu kutuma..
ALL kwenda 15006
ilikua inafanya kazi sijui kwa sasa..
 
fanya hi njia ndugu yangu nenda settings chagua connections ,ingia kwenye packet data ,sehemu ya acess point weka internet au wap ,save.nenda wkwenye browser ya simu yako fungua nenda options chagua general zingine hazina neneo general chamuimu uone neno acces point bonyeza chagua user defined utaona neno internet au wap inategemea wewe uliweka nini mwanzoni kule.afu badilisha na homepage.weka google.com afu save internet itakuwa tayari sio kwa tigo tu bali line zote
 
kama bado itakuzingua kabla huja fanya step ya kwanza kabisa hapo juu nenda settings afu connections chagua neno acces point afu options new acces point .afu connection name weka jina lolote ,data bearer weka packet data,acces point name weka internet au wap, kwingine pache kama palivyo.afu ndio uendele na setting zingine kama hapo juu
 
asantn kwa michango yenu wakuu...imekubali sasa, niliweka line ya voda nikapata settings kisha nikarudishia line yangu...ikakubali!
 
Back
Top Bottom