Msaada: Jinsi ya kutumia Airtel bila BiS.

Mpiga Nyoka

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
283
122
Wakuu.

Nimekuwa natafuta njia ya kutumia internet kwenye blackberry kwa chip yangu ya airtel kwa kuchange APN bila mafanikio. Najua ya tigo tu ila nataka ya airtel kwasababu ni cheap zaidi! Nawakilisha.
 
Install operamini kwa BB yako kisha nenda option>advance option>TCP na hapo kwenye APN andika internet, username na password usijaze kitu pabaki blank, kisha save utakuwa umemaliza mchezo, hapo utakuwa unaweka line yoyote inakubali
 
Mkuu ahsante lakini hiyo inakubali kwa tigo na voda ila airtel inakataa sijui kwanini!?
 
Mkuu ahsante lakini hiyo inakubali kwa tigo na voda ila airtel inakataa sijui kwanini!?
Wakati mwingine SIM CARD zenyewe zinakuwa na matatizo hazijawa actvated kwa internet, jaribu kuweka sim card nyingine ya airtel uone
 
Back
Top Bottom