Boniface Evarist
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 1,147
- 512
Dear JF Member(s)!
Kutokana na usumbufu wa yahoo email katika outlook naamini kuna watu wana trick iliyowapelekea kufanikiwa kuifanya email ya yahoo ifanye kazi bila matatizo au errors katika outlook.
Naomba mnpe huo utundu maana nimejaribu lakini wapi?
Nipe step by step procedures au link itakayo nisaidia!
Thanks in advance.
Pax...!