msaada jinsi ya kupata kifurusha kili cha startimes

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
jamani kwa anaejua jinsi ya kupata pakeji ya kili startimes anisaidie.nimeshanunua salio la 18000
 
piga *150*63# fuata maelekezo mengine. Ni kama vile unavyotumia tigo pesa au m pesa yaani unachagua huduma unayotaka.
 
Back
Top Bottom