msaada: jinsi ya kuondoa linux ktk computer

komredi ngosha

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
382
71
kompyuta yangu ina os 2, moja ya linux na siitaki ila nashindwa kuitoa, nikifungua os ya windows files zake sizioni. Msaada pls!
 
kompyuta yangu ina os 2, moja ya linux na siitaki ila nashindwa kuitoa, nikifungua os ya windows files zake sizioni. Msaada pls!

Uliinstall vpii hiyo ubuntu ?

  • jaribu kucheki kwenye installed progames mana una njia moja ya kuinstall ubuntu inakuwa kama una uninstall program.

Alternatively cheki hi clip ya youtuve e- UNistalling ubuntu using easyBCD

Hiyo EasyBCD ni nyenzo itakusadia kurahisisha kazi
 
Last edited by a moderator:
kompyuta yangu ina os 2, moja ya linux na siitaki ila nashindwa kuitoa, nikifungua os ya windows files zake sizioni. Msaada pls!
Mkuu ingekuwa vizuri ukifafanua umeinstall linux version ipi na kwa njia gani.pia kujua unatumia windows gani.Niliata maswahibu kama hili nikasolve, nilikuwa ubuntu 11.04 na win7
 
Njia rahisi kabisa ni hii:.
Chukua CD ya Windows
Boot na Windows CD,
Then ukifika kwenye partition.
Delete All linux Partitions.
Then Stop installation. and Restart you comp
Kama inasumbua unaweza kuinstall windows baada ya kudelete linux partition, than baadae delete partition ya new installed windows.
 
kompyuta yangu ina os 2, moja ya linux na siitaki ila nashindwa kuitoa, nikifungua os ya windows files zake sizioni. Msaada pls!

Kama ulivyosema, ya kwamba una OS mbili, Windows na Linux.. Steps za kuondoa Linux...
  1. Start your computer and and select the Window OS
  2. Baada ya kuingia kwenye window OS, nenda kwenye run Command (Inapatikana kwa kushikilia Start button+R, au waweza sema window+R )
  3. Ukishaipata run Command, type diskmgmt.msc na utaenda kwenye Disk Management window
  4. Chagua partition ambayo ina Linux, then right click and format, au delete partition yenye Linux, narudia, partition yenye linux i-format au delete.. (Usifanye makosa hapa usije uka format partition yenye data zako)
    Kumbuka, Linux hutumia ext2/ext3/ext4 file system mara nyingi hizi partition za linux huwezi ukazifungua kwa kutumia NTFS.. Baada ya hapo usi shutdown Computer soma maelezo haya..
  5. Nenda kwenye run Command tena, type CMD ili kufungua Command prompt na u type hizi command hapa chini
    BootRec.exe /fixmbr
    BootRec.exe /FixBoot
    BootRec.exe /ScanOs

  6. Hapo hapo kwenye command prompt uki type msconfig, utapata window ambayo pia itakusaidia kuona startup feature za System yako
  7. Start your System...
Kama kwa bahati mbaya system ikawa shutdown bila kufanya step ya 5 na kuendelea then, itakuhitaji ufanye mpango wa kuipata Command Prompt at boot time, ili kufanya steps ya 5 hili itakuihitaji upate cd ya OS window iliyo kwenye system yako.. then fata steps za link hii

Command Prompt at Startup - Windows 7 Forums

Ukishaweza kuipata Command Prompt, fanya step ya 5.. Then ukiwa umeishafanya 5th step mambo yatakuwa mswano... Just Zima computer na ustart tena..
 
Mkuu ingekuwa vizuri ukifafanua umeinstall linux version ipi na kwa njia gani.pia kujua unatumia windows gani.Niliata maswahibu kama hili nikasolve, nilikuwa ubuntu 11.04 na win7
na mimi hiyo hiyo 11, win 7. Sikuweka mimi, my frnd dd na hayupo kwa sasa
 
Njia rahisi kabisa ni hii:.Chukua CD ya WindowsBoot na Windows CD,Then ukifika kwenye partition.Delete All linux Partitions.Then Stop installation. and Restart you compKama inasumbua unaweza kuinstall windows baada ya kudelete linux partition, than baadae delete partition ya new installed windows.
cd rom imekufa, huku kijijini nilipo siwezi kupata external cd rom
 
Attachments

  • dualbootlogo.jpg
    dualbootlogo.jpg
    9.4 KB · Views: 37

Similar Discussions

Back
Top Bottom