Edgarcoco JF-Expert Member Jul 14, 2011 229 78 Jul 14, 2012 #1 Computer yangu imekuwa attacked na [h=1]TrojanDownloader:Win32/Adload.DA naombeni msaada jinsi ya kuondoa hilo tatizo[/h]
Computer yangu imekuwa attacked na [h=1]TrojanDownloader:Win32/Adload.DA naombeni msaada jinsi ya kuondoa hilo tatizo[/h]
engineerm Senior Member Aug 30, 2011 106 19 Jul 14, 2012 #2 Install window upya tu, no wayout hapo kumuondoa huyo kirusi
MAMMAMIA JF-Expert Member Feb 26, 2008 3,811 1,603 Jul 14, 2012 #3 Edgarcoco, Kwa kuwa hicho kirusi kimeingia kwenye Windows, bora kutumia Microsoft Safety Scanner - Antivirus | Remove Spyware, Malware, Viruses Free, lakini pia ziko programmes nyengine. Pia unaweza kutumia Malwarebytes Anti-Malware, unaweza kudownload kutoka hapa: Malwarebytes Anti-Malware - CNET Download.com. Baada ya kudownload na kuinstall, unafanya usafishaji Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Edgarcoco, Kwa kuwa hicho kirusi kimeingia kwenye Windows, bora kutumia Microsoft Safety Scanner - Antivirus | Remove Spyware, Malware, Viruses Free, lakini pia ziko programmes nyengine. Pia unaweza kutumia Malwarebytes Anti-Malware, unaweza kudownload kutoka hapa: Malwarebytes Anti-Malware - CNET Download.com. Baada ya kudownload na kuinstall, unafanya usafishaji
Edgarcoco JF-Expert Member Jul 14, 2011 229 78 Jul 15, 2012 Thread starter #4 thanx mammamia nimedownload hiyo microsoft safety scanner ndo naisafisha now
Edgarcoco JF-Expert Member Jul 14, 2011 229 78 Jul 15, 2012 Thread starter #5 engineerm said: Install window upya tu, no wayout hapo kumuondoa huyo kirusi Click to expand... najaribu kutumia microsofty safety scanner nikishindwa ntaweka window upya
engineerm said: Install window upya tu, no wayout hapo kumuondoa huyo kirusi Click to expand... najaribu kutumia microsofty safety scanner nikishindwa ntaweka window upya
Kibirizi JF-Expert Member Feb 19, 2011 604 146 Jul 15, 2012 #6 Kuna wataalamu wengine huwa wanakitoa kwa DOS comand prompt