Msaada jinsi ya kujiunga na Boom Club ya Airtel

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,691
633
Jamani mimi nilichukua line ya Airtel mwezi mmoja na nusu uliopita wakaniambia wameniunga na promo hiyo. Baada ya hapo sikutumia tena line hiyo, sasa leo nimeweka hela nikaanza kutumia lakini naona imekata hela yote. Swali je ni kila wiki ninatakiwa kujiunga? Na, je ninajiunga vipi, maana siku ile waliniungia wenyewe na wakasema kila kitu fresh na kweli ilikuwa inapiga mzigo fresh.

Msaada tafadhali.
 
duh pole mkuu..the issue is: unapaswa kujiunga kila week na wanakata sh 500,
kujiunga tuma neno MAGIC ikifuatiwa na namba ulioichagua mf. MAGIC 0XXXXXXXX , kwenda 15766. utakuwa umeunganishwa kwa wiki 1, ikiisha unafanya hivo tena
 
ebu tuelimishe kdogo boom club inatumika kwa namna gani?

boom club line inakufanya uweze kuunga na kuongea na namb moja ya airtel kwa siku saba kwa ku2ma mfano"MAGIC 0789812258" kwenda 15766!!kwa tsh 500/=
 
Kujiunga katika system ya boom club,hapa namaanisha wezesha hata line ya kawaida kuwepo ktk bum club system!hapa 2mia line nyngn(cm nyngn) kuunga line nyngn!mfano ktk airtel ln ya rafk yko kuunga ya kwko ktk uwanj wake wa msg aandike"EN 0789485858(hapa namba ya anayeungw)!kwenda 15766!kila line moja inaunga line moja 2!
 
Bila kusahau hiyo offer ni kwa ajili ya wanafunzi wa chuo tuu! Na mabalozi wa boom club wanaounganisha line na huduma hiyo wanapatikana huko huko vyuoni!
 
Back
Top Bottom