Msaada: Jinsi ya kujiajiri kwa kutengeneza bidhaa zitokanazo na taka za karatasi

yupo mtu hutengeneza hard paper kwa karatasi / na kuuza kwa bei nzuri sana / nimetafuta ujuzi ule mpaka nimekata tamaa. anayejua pls?
 
Asee kwa mwenye ujuzi pia wa kutengeneza hardboard na ceiling board kutokana na vumbi la mbao ajitokeze tuweze kuunganisha nguvu tuweke kiwanda,kuna mahali hii raw material ipo ya kutosha.
 
Back
Top Bottom