Msaada jinsi ya kuichakachua huawei e153 modem ya tigo iweze kutumia sim cards za airtel na zantel

Mhigomkami

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
856
503
naombeni msaada jinsi ya kuchakachua E153 HUAWEI MODEM YA TIGO ili itumie SIMCARDS za Zantel au Airtel............please saidieni sina hela ya kununua Modem zote!
 
naombeni msaada jinsi ya kuchakachua E153 HUAWEI MODEM YA TIGO ili itumie SIMCARDS za Zantel au Airtel............please saidieni sina hela ya kununua Modem zote!
Daah pole sana mkuu hyo kitu bado haijapata ufumbuzi anyway nothin is impossible vumilia tu and one of these days utoana kuna mtu kafanikiwa na kumwaga maujanja apa.
 
Uchaguzi mkuu uliopita 2010, watz wengi tulijiuliza sana, kwa vile vitisho vilivokuwa vikitolewa na Mnadhimu wa jeshi Shimbo vikiwalenga wapinzani hususan Chadema!!! Wengi walidai katumwa, wengine wakauliza kapata wap ujasiri wa namna ile, kwa mwanajeshi kuingilia kampeni za za uchaguzi mkuu!!! Hakika ukweli umekuwa wazi sasa, kwa hili lililopo asingethubutu kuruhusu Dr. Slaa kuingia Ikulu, angeagiza hata Jeshi likafanye kama wanavyofanywa waarab hususan Libya endapo chadema ingeshinda!! Hakika yake pale magogoni tungepata mpangaji mwingine, huyu bwana leo angeisha hukumiwa maisha ama kunyongwa kabisa!!! Hw can the president keeps on begging Tanzanian living abroad, instead of seazing those offshore account!!! Inauma sana kwakweli...!! Mzee mwenyewe yupo kimya haongei lolote!!!
 
Hizo modem ziko counter block na firmware yake ipo njia ya kuchakachua lakini ni ya temporaly yaani when you remove modem from the machine inakuwa imepotea ukiatach modem you must start process za kuunlock upya so ni usumbufu kwa kweli kwakuwa njia zenyewe its too long.
 
Back
Top Bottom