Msaada: Jinsi ya kufungua website ya bure

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Nimewahi kusikia mahala kuwa kufungua website si lazima uwe na faranga.
Kwa wanaofahamu, ni kweli? Na kama ni kweli, nahitaji vitu gani ili nianzishe tovuti yangu-siyo blogu.
 
Jaribu hapa ilovetz.com utapata na subdomain bure. Pia utapata domain kwa bei rahisi.

endapo utapenda kupata free domains kama .tk .cu.cc ama nyingine yoyote utapata msaada.
Kwa msaada: ilovetz.info@gmail.com or 0753716279, 0716716279
 
ni kweli sio lazima uwe na faranga. ila inabidi utumie sub domain na sio top level domain kama .com nk. unaweza pitia hapa CO.CC - Free Domain name registration + Free DNS service. hapo utapewa domain name inayoishia na .co.cc mf. www.mphamvu.co.cc halafu utatafuta free hosting.
Ila nakushauri ununue domain name yako gharama c kubwa haizidi hata 20000 kwa mwaka!!!

Ahsante kwa mchango wako mkuu, kimsingi sio mimi nayetaka kufungua website, ni taasisi fulani, kwa malipo uliyoyasema nadhani wanayamudu.
Nitawaeleza wahusika. Na hivi, inaweza kuchukua muda gani na gharama kiasi gani kudesign web na kuifanya iwe active, if you wont mind.
 
gharama maranyingi hutegemea na aina ya web uitakayo
 
Ahsante kwa mchango wako mkuu, kimsingi sio mimi nayetaka kufungua website, ni taasisi fulani, kwa malipo uliyoyasema nadhani wanayamudu.
Nitawaeleza wahusika. Na hivi, inaweza kuchukua muda gani na gharama kiasi gani kudesign web na kuifanya iwe active, if you wont mind.

gharama nliyoitaja hapo ni ya domain name (jina la website) gharama nyingine ni hosting makadirio ya chini 80000*/yr* muda unaweza usizidi hata wiki2 kulingana na aina ya website. designer nae analipwa
 
Jaribu hapa ilovetz.com utapata na subdomain bure. Pia utapata domain kwa bei rahisi.

endapo utapenda kupata free domains kama .tk .cu.cc ama nyingine yoyote utapata msaada.
Kwa msaada: ilovetz.info@gmail.com or 0753716279, 0716716279

Thank you mshua, I will check you for further help.
 
Mfano tunataka website ya timu ya soka, iwe kama hizo za Ulaya au timu za Afrika Kusini.
Kuwa kuwaje hapo?
 
Back
Top Bottom