msaada: Jinsi ya kufungua HTML files

PingPong

JF-Expert Member
Dec 21, 2008
926
160
Wakuu habari zenu popote mlipo, mimi nina tatizo la kufungua html files kwenye pc yangu. Nashindwa kuelewa kwa nini hazifunguki coz sio zote kuna baadhi zinafunguka, na kinachonishangaza zaidi ni kuwa zile zisizofunguka nikitumia pc nyingine zinafunguka bila matatizo na nikizihamishia kwenye pc yangu pia zinafunguka ( kumbuka mwanzo zilikuwa hazifunguki) , sasa najiuliza kwa nini kwangu hazifunguki napofungua mara ya kwanza ni mpaka nizifungue kwenye pc nyingine then ndio nikihamishia kwangu zifunguke? je kuna haja ya kuwa na software flani ili zifunguke? natumia windows xp, web browser yangu ni internet explorer. :help:
 
zikikata kufunguka ujumbe gani unaupata? soma error message na uielewe unaweza kufanikiwa kujua na kusuluisha tatizo.
 
zikikata kufunguka ujumbe gani unaupata? soma error message na uielewe unaweza kufanikiwa kujua na kusuluisha tatizo.

error inayojitokeza ni kuwa "cannot open the file: D\......." na kuna nyingine zinafunguka ila haisomi contents, message inayotokea kwenye page inasema "This program cannot display the webpage"
 
unapozungumzia html ni lugha ya webdesign ambayo ina vitu vingi sema website file linaweza kuwa browser yako unayotumia haikizi maitaji ya faili ya website file unapo lipeleka sehemu nyingine lina ji uprigade kwsababu lime respond browser ya mtu huyo ambayo ipo update na kuwa mfumo mzuri
chizicomputer
edjizzo@yahoo.com
0712484995
 
Nakubaliana na edjizzo.Kinachosababisha hapo ni kuwa hilo file la HTML limetengenezwa kwa kwa the most current version ya HTML(5.0) na Internet explorer unayoitumia ni oldest version na hivyo kusababisha Explorer yako kushindwa kufungua hilo file

Kwa hiyo download Internet explorer 8 na uistall kwenye kompyuta yako na tatizo litakwisha.
 
Back
Top Bottom