Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 724
Heshima kwenu wakuu ! Kwa anayejua jinsi ya kufanya partion kwnye drives za computer naomba msaada
ni kwamba pc yangu ina memory kubwa sn kweny drive D' wakati drive C' ina kiasi kidogo ninapohitaji kudowload napata shida kwa kuwa drive C imejaa
Naomba maelekezo ili niiongezee drive C ukubwa.