Msaada jinsi ya kudownload TV card Driver & Application

panyabuku

Member
Apr 2, 2012
81
4
Wadau naomba msaada wa kujua kudownload Drivers and Software nilinunua TV card aina ya Light wave (USB TV/AV COMBO with FM) cd imepotea niliformat PC yangu sasa nahitaji kuinstal upya .Naombeni maujanja ya kuipata hii wadau.
 
kwanza unatakiwa ujue TV card yako ni model gani ili ujue model ya TV card yako angalia hapo kwenye kibati utaona model namba yako mfano hii ni WinTV "PAL-BG/1 61314 Rev BM na baada ya hicho kibati chini yake utaona kampuni iliyotengeneza hiyo TV tuner mfano hii imetengenezwa na Hauppauge computer Works,Inc kwahiyo unakwenda moja kwa moja kwenye website yao mfano website ya hawa jamaa ni http://www.hauppauge.com/ utaingia ktk wesite yao juu uta click support zitatokea TV tuner nyingi utachagua tv tuner yako kwa mujibu wa namba yako uta click hapo utaona driver zako utadownload kwishnehi mfano ndio huo Hauppauge Computer Works natumai darasa umelipata karibu jf

795px-Hauppauge_Win-TV-Karte.jpg
 
View attachment 53072
Mkuu kwanza nashukuru umenipa njia ambayo nimefanya bahati mbaya sikufanikisha kwan Tv tuner yangu Product name yake ni Light wave nimejaribu kuifungua ndani maana ni External Tv tuner model nilishindwa kujua nifuatilie ipi maana nje kwenye box model imetajwa ni LW-UTV-FM na kwa ndani kwa maelekezo nimeona pia kuna namba kama za hapo kwenye picha ambazo ni TN"TNF9022-BF" na website yao ni Shenzhen Tena Electronic Co., Ltd. kitu kilichonishinda hawana support center kwa hiyo nimeshindwa kupata hii software and drive naomba msaada mwingine kwako ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom